Zanzibar Heroes kujipima na Uganda Cranes

Joel JJ By Joel JJ β€’ 8th June 2026


Zanzibar Heroes kujipima na Uganda Cranes

Timu ya Taifa ya Zanzibar maarufu 'Zanzibar Heroes' inatarajiwa kucheza mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda.

Mchezo huo ambao upo katika kalenda ya FIFA, utapigwa Alhamisi, Juni 11 uwanja wa New Amaan Complex visiwani Zanzibar, saa 11 jioni.

Hiki hapa kikosi kilichoitwa;


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.