KMC Goodbye Ligi Kuu

Joel JJ By Joel JJ β€’ 13th June 2026


KMC Goodbye Ligi Kuu

Kipigo cha bao 1-0 walichokumbana nacho KMC jana kimehitimisha ushiriki wao wa ligi kuu msimu ujao 2026/27.

KMC sasa wanayo tiketi ya kushiriki ligi ya championship msimu ujao huku wakiwa na mechi nne mkononi.

Wamecheza mechi 26 wakikusanya alama 9 tu huku zikisalia mechi nne. Hata kama watashinda mechi hizo watafikisha alama 21 ambazo tayari Mbeya City inayoshika nafasi ya 14 imevuka ikiwa na alama 22.

Tanzania Prisons wako nafasi ya 15 wakiwa na alama 20, wao bado wako kwenye mapambano ya kuepuka kuungana na KMC kucheza Championship msimu ujao.


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.